Monday, March 16, 2015

MOTO WAUNGUZA BWENI LA MABIBO HOSTEL JIJINI DAR

Wanafunzi wakijaribu kuokoa baadhi ya mali kutoka katika bweni la Block B kwenye hosteli ya Mabibo, Dar.
Moto ukizidi kuunguza bweni hilo.
Moto mkali ukifuka kutoka katika bweni la Block B linaloendelea kuungua hivi sasa.

Wanafunzi wakishuhudia moto huo ukiendelea kuunguza bweni la Block B.
MOTO mkali umeunguza bweni la Block B la hosteli ya Mabibo jijini Dar es Salaam muda huu. Chanzo cha moto huo na bado hakijafahamika.
Baadhi ya wanafunzi wanafanya jitihada za kuokoa mali zilizopo katika bweni hilo. Mpaka tunapokea taarifa hizi, hakuna kikosi chochote cha zimamoto kilichokuwa kimefika eneo la tukio.

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...