Thursday, March 19, 2015

MENINA AFICHA KOVU PAJANI KWA TATUU

Na Musa Mateja
Binti anayekuja kwa kasi kwenye gemu la muziki, Menina Atick amelazimika kutumia mimu ya kujichora tatuu pajani ili kuziba kovu kubwa lililopo eneo hilo nyeti.
Binti anayekuja kwa kasi kwenye gemu la muziki, Menina Atick.
Msanii huyo mwenye figa tata alinaswa na paparazi wetu maeneo ya Mikocheni kwenye Ukumbi wa Escape One akiwa amejichora tatuu na katika kufuatilia ikabainika kuwa, kovu kubwa lililoharibu eneo hilo ndilo lilisababisha urembo huo.
 
Akipiga Menina alisema ni kweli alikuwa na baka eneo hilo na katika kumfanya aendelee kuwa na mvuto, alitumia mbinu hiyo ya kuziba kwa tatuu.

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...