Thursday, March 19, 2015

MAHARAMIA WA ISIS WAJIACHIA MILIMANI

KIKUNDI cha Kislamu cha ISIS kinachoendesha mauaji ya Wakristo kimeonesha picha mbalimbali zikiwaonesha wakiwa katika pozi mbalimbali katika milima ya Iraqi.
Wameonesha wakiwa wametulia bila hofu. Muda mwingi wamekuwa wakisoma vitabu vya Koroani, wakipanda farasi na sehemu nyingine wakiwa mbele ya bendera yao.


POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...