Sunday, February 1, 2015

DIAMOND, ZARI NDANI YA VIDEO YA NGOMA MPYA


Diamond akiwa kwenye baiskeli huku Zari akiwa kwenye BMW X6.

STAA wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’, ameamua kuja kiupya na kuonyesha Project yake ya kwanza akiwa na mchumba wake Zarinah Hassani 'Zarithebosslady',ambapo maandalizi yake yalianza jana  Kongowe nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, ikiwa ni moja ya ngoma yake mpya ambayo haijatambulika jina lake.
Diamond akipozi na mpenzi wake Zari.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...