Wednesday, April 2, 2014

MENEJA MPYA WA JOHANNESBURG HOTEL AFANYIWA SHEREHE YA KUMKARIBISHA

MENEJA mpya wa Johannesburg Hotel, Edson Chita Nyondo, juzi usiku alifanyiwa hafla fupi katika hoteli hiyo iliyo maeneo ya Sinza-Mori, jijini Dar es Salaam, kumkaribisha katika kazi yake hiyo.

Meneja mpya Edson Chita Nyondo akiongea jambo katika hafla hiyo.

Mmoja wa waratibu wa hotel hiyo (kushoto), Zabron akiwa na meneja mpya.

Mmoja wa wafanyakazi wa hoteli hiyo akikata keki.

Meneja Nyondo huyo akilishwa keki na mmoja wa wafanyakazi wenzake.

Baadhi ya wafanyakazi wa hoteli hiyo wakiwa katika picha ya pamoja.

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...