Wednesday, April 2, 2014

SANDRA AONYA MASTAA WASAGAJI

MSANII wa filamu za Kibongo, Salma Salmini ‘Sandra’ amesema kinachowaponza mastaa wengi kutopenda kuingia kwenye ndoa ni kupenda vitendo vya usagaji na ushoga.

Msanii wa filamu za Kibongo, Salma Salmini ‘Sandra’

Akipiga stori na paparazi wetu, Sandra alisema vitendo hivyo vimekuwa vikishamiri siku hadi siku kwa mastaa hususan wa filamu kwa tabia ya kupenda kuiga nchi za jirani.

“Ushoga na usagaji ni janga kwa mastaa, matokeo yake wengine hata wakibahatika kuingia katika ndoa wanashindwa kupata watoto kirahisi, hali inatisha, tubadilike,” alisema Sandra.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...