Thursday, March 13, 2014

MAKAMU MWENYEKITI BUNGE MAALUM LA KATIBA NI SAMIA HASSAN


Samia Suluhu Hassan.
SAMIA Suluhu Hassan ndiye Makamu Mwenyekiti wa Kudumu Bunge Maalum la Katiba baada ya kupata kura 390 sawa na 74% na kumshinda mpinzani wake Amina Abdallah Amour aliyepata jumla ya kura 126 sawa na 24%. Kwa matokeo hayo, Samia Hassan ataungana na Samuel Sitta aliyechaguliwa jana kuwa Mwenyekiti wa Kudumu wa bunge hilo katika mchakato mzima wa kupata katiba mpya.

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...