Thursday, March 13, 2014

HIVI NDIVYO WAARABU WALIVYOONYESHA KWA DHATI MAPENZI YAO KWA WACHEZAJI WA YANGA

Baadhi ya wachezaji wa timu ya Yanga SC.Haruna Niyonzima wa pili kutoka kushoto akiwa kwenye pozi na baadhi ya maostadhi wa kiarabu muda mufupi kabla ya kuanza safari yao ya kurejea jijini Dar es Salaam,hiyo ilikuwa  baada ya mchezo wao na timu ya Al-Ahly ya Misri uliyochezwa jumapili iliyopita nchini humo,wengine ni Mrisho Ngassa,Jerison Tegete wakiwa katika pozi na Waarabu hao ambao waliomba kupiga nao picha kwenye Uwanja wa Ndege nchini humo.
Yanga kesho Jumamosi itashuka kwenye dimba la Jamhuri Morogoro tayari kwa kuchuana na timu ya Mtibwa Suger  kwenye mzunguko wa lala salama wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Picha:Saleh Ally-instagram

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...