Thursday, March 13, 2014

BENKI YA NBC YAZINDUA NBC DIRECT.Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Mizinga Melu (kulia) akibonyeza kitufe cha kompyuta kama ishara ya kuzindua rasmi bidhaa mpya kwa wateja wao ya NBC Direct, jijini Dar es Salaam jana. Wengine ni maofisa wa benki hiyo wa pili kushoto ni, Sarah Laiser-Sumaye, Mary Kapeja, Andrew Massawe na, Mussa Jallow.

Mkuu wa Huduma Rejareja za Kibenki, Mussa Jallow akizungumza na wateja na waalikwa wengine katika uzinduzi huo akieleza faida mbalimbali zinazopatikana katika bidhaa ya NBC Direct.

Baadhi ya maofisa wa NBC na wageni wengine waliohudhuria hafla ya uzinduzi hnuo jijini Dar es Salaam jana.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Mizinga Melu (kulia) akisamiliama na baadhi ya wagewnzi walihudhuria hafla ya uzinduzi wa NBC Direct jijini jana.

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...