Tuesday, February 18, 2014

DK. MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA NYUMBA 851



Dk. Magufuli akipata maelezo kutoka Mwakalinga ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania.

Dk. Magufuli akiongozwa na Mwakalinga.

Baadhi ya nyumba hizo zinazoendelea kujengwa.
WAZIRI wa Ujenzi Dk. John Magufuli leo amefanya ukaguzi katika ujenzi wa nyumba za Serikali zipatazo 851 zilizopo Mabwepande, Kinondoni, Dar es Salaam zinazosimamiwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA).
Huu ni muendelezo na mikakati ya Wizara ya Ujenzi ya kuwajengea na kuwauzia watumishi wa Serikali nyumba kwa bei nafuu.

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...