Tuesday, February 18, 2014

MAPICHA:JIDEJAYDEE AANZA RASMI KUFANYA MAZOEZI YA KARATE JIONEE MWENYEWEMwanadada Jide kwa sasa yupo kwenye mazoezi ya Karate ili kuuweka mwili wake uwe vizuri na ujijenge kwa lolote litakalo kuwa lakijinga mbele yake ili akabiliane nalo. Jide akitumia account yake ya Facebook ametupia picha hizi ambazo ziko hapa akiwa na vazi jipyaaaaaaaa kabisa tayari kwa kuyamudu mazoezi hayo.
POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...