Tuesday, January 8, 2013

VODACOM YASAIDIA WALIOATHIRIKA NA MADAWA YA KULEVYA NCHINI

Meneja wa Vodacom Foundation Grace Lyon (kushoto) akimkabidhi Katibu Msaidizi wa Mtandao wa Free Drug Zanzibar Fatma Sukwa sehemu ya msaada wa vyakula na bidhaa nyingine za nyumbani kutoka Vodacom Foundation kusaidia nyumba kumi na moja za kusaidia watumiaji wa dawa za kulevya kuachana na matumizi ya dawa hizo Kisiwani Unguja. Wa pili kushoto ni Meneja wa Vodacom Zanzibar Mohamed Mansour na Meneja Mahusiano ya Nje wa kampuni hiyo Salum Mwalim. Msaada huo ni sehemu ya program ya Pamoja na Vodacom ya kusaidia watu wenye mahitaji msimu wa Sikukuu za mwishoni mwa mwaka.

Meneja wa Vodacom Zanzibar Mohammed Mansour (wa kwanza kushoto) akimkabidhi Katibu wa Taasisi ya Zanzibar Free Drug Badru Nassir Ali sehemu ya msaada wa vyakula na bidhaa nyingine za nyumbani kutoka Vodacom Foundation kusaidia nyumba kumi na moja za kusaidia waathirika wa dawa za kulevya kuachana na matumizi ya dawa hizo Kisiwani Unguja. Wanaoshuhudia ni Meneja Mahusiano ya Nje wa Vodacom Salum Mwalim (Katikati) na Meneja wa Vodacom Foundation Grace Lyon. Hafla hiyo ilifanyika Mjini Zanzibar hivi karibuni. Msaada huo ni sehemu ya program ya Pamoja an Vodacom ya kusaidia watu wenye mahitaji msimu wa Sikukuu za mwishoni mwa mwaka. Meneja wa Vodacom Foundation Grace Lyon akizungumza wakati wa halfa ya kukabidhi msaada ya vyakula na bidhaa nyingine za matumizi ya nyumbani uliotolewa na Vodacom Foundation kwa vituo kumi na moja vya kusaidia watumiaji wa dawa za kulevya kuachana na matumizi ya dawa hizo.

Baadhi ya watumiaji wa dawa za kulevya waliopo kituoni hapo kwa ajili ya kuachana na matumizi ya dawa hizo.
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja na waanzilishi wa vituo na watumiaji wa dawa za kulevya mara baada ya kutoa msaada ya vyakula na bidhaa nyengine za matumizi ya nyumbani uliotolewa na Vodacom Foundation kwa vituo kumi na moja vya kusaidia watumiaji wa dawa za kulevya kuachana na matumizi ya dawa hizo.Meneja wa Vodacom Foundation Grace Lyon (kushoto) akimkabidhi Katibu Msaidizi wa Mtandao wa Free Drug Zanzibar Fatma Sukwa sehemu ya msaada wa vyakula na bidhaa nyingine za nyumbani kutoka Vodacom Foundation kusaidia nyumba kumi na moja za kusaidia watumiaji wa dawa za kulevya kuachana na matumizi ya dawa hizo Kisiwani Unguja. Wa pili kushoto ni Meneja wa Vodacom Zanzibar Mohamed Mansour na Meneja Mahusiano ya Nje wa kampuni hiyo Salum Mwalim. Msaada huo ni sehemu ya program ya Pamoja na Vodacom ya kusaidia watu wenye mahitaji msimu wa Sikukuu za mwishoni mwa mwaka.

Meneja wa Vodacom Zanzibar Mohammed Mansour (wa kwanza kushoto) akimkabidhi Katibu wa Taasisi ya Zanzibar Free Drug Badru Nassir Ali sehemu ya msaada wa vyakula na bidhaa nyingine za nyumbani kutoka Vodacom Foundation kusaidia nyumba kumi na moja za kusaidia waathirika wa dawa za kulevya kuachana na matumizi ya dawa hizo Kisiwani Unguja. Wanaoshuhudia ni Meneja Mahusiano ya Nje wa Vodacom Salum Mwalim (Katikati) na Meneja wa Vodacom Foundation Grace Lyon. Hafla hiyo ilifanyika Mjini Zanzibar hivi karibuni. Msaada huo ni sehemu ya program ya Pamoja an Vodacom ya kusaidia watu wenye mahitaji msimu wa Sikukuu za mwishoni mwa mwaka. Meneja wa Vodacom Foundation Grace Lyon akizungumza wakati wa halfa ya kukabidhi msaada ya vyakula na bidhaa nyingine za matumizi ya nyumbani uliotolewa na Vodacom Foundation kwa vituo kumi na moja vya kusaidia watumiaji wa dawa za kulevya kuachana na matumizi ya dawa hizo.

Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja na waanzilishi wa vituo na watumiaji wa dawa za kulevya mara baada ya kutoa msaada ya vyakula na bidhaa nyengine za matumizi ya nyumbani uliotolewa na Vodacom Foundation kwa vituo kumi na moja vya kusaidia watumiaji wa dawa za kulevya kuachana na matumizi ya dawa hizo.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...