Friday, January 4, 2013

HIVI NDIVYO MWILI WA SAJUKI ULIVYOZIKWA KATIKA MAKABURI YA KISUTU.






Sehemu ya waliohudhuria msiba wa Sajuki katika makaburi ya Kisutu

Wadau mabali mbali wakisubiria mwili wa Marehemu Sajuki, huku Profesa Jay akionekana kwa mbali miongoni mwa wanaousubiri mwili.

Umati wa watu ukiwa makaburini Kisutu Dar

Mwili wa marehemu Sajuki ukiwasili katika makaburi ya Kisutu tayari kwa mazishi

Hapa ndipo sajuki amelala! May his soul R.I.P

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...