Saturday, January 5, 2013

WEMA SEPETU NDANI YA CHOICE FM LEO


STAA wa Bongo, Wema Isaac Sepetu leo mchana ameanza rasmi kupiga mzigo wa kutangaza laivu katika kituo cha Choice FM, na hii ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu alipozaliwa kusikika akitoa sauti na kuendesha kipindi cha redio tena kwa zaidi ya saa mbili mfululizo kwenye maisha yake. Hebu jaribu kuendelea kumfuatiria kila siku ili tuone kama kweli ataweza kusongesha kwa umakini wa hali ya juu gurudumu hilo tena ikiwa ni mara ya kwanza kwenye life yake.



Wema (katikati), akiwa katika pozi na Meneja wake Martin Kadinda wa kwanza kushoto na kulia ni mtangazaji wa kipindi cha Club 10 ndani ya Clouds FM.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...