Saturday, January 5, 2013

DUH, KWA AJALI HIZI TUTAUMALIZA MWAKA HUU KWELI?

Hii ni zaidi ya balaa, maana inanishangaza na kunitia wasi wasi hasa nikifikiria miundo mbinu yetu na jinsi makonteni yanavyobebwa kila siku kwenye magari ya mizigo hapa Bongo, kama Wizara husika haitachukuwa hatua za makusudi kwa wamiliki wa magari ya mizigo kwa kuhakikisha wanafunga kila kontena kwa umakini basi mwaka huu tena haponi mtu.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...