Sunday, September 9, 2012

UZINDUZI WA KAMBI YA REDD'S MISS KINONDONI 2012 HATARIIII!!!



Mkuu wa Itifaki wa Miss Tanzania Albert Makoye akizindua kambi ya Redd's Miss Kinondoni 2012 pembeni ni Mratibu wa Redd's Miss Kinondoni 2012, Vivien Sirikwa na nyuma ni warembo walio katika kinyang'anyiro cha Redd's Miss Kinondoni 2012.

Mratibu wa Redd's Miss Kinondoni 2012, Vivien Sirikwa akizungumza.

Mmiliki wa hoteli ya JB Belmounte moja ya wadhamini wa Redd's Miss Kinondoni 2012, Bw. JB akiongea katika uzinduzi wa kambi iliyopo katika hoteli hiyo.

Washiriki wa Kinyang'anyiro cha Redd's Miss Kinondoni wakiwa katika picha ya pamoja.

Baada ya uzinduzi warembo waliburudika na sebene.


...Aha ilikuwa ni raha sana.

Picha: Sufianimafoto

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...