Sunday, September 9, 2012

MISS ILALA MWAKA HUU NI NAELA MICHAEL



Miss Ilala 2012, Naela Michael, akifurahia muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi, kati ya washindani 13 waliyokuwa kwenye mpambano huo.

Washiriki wa shindano hilo, wakicheza shoo ya pamoja ya ufunguzi wa shindano hilo lililofanyika ndani ya ukumbi wa Nyumbani Lounge jijini Dar es Salaam.

Mchakato na shoo ya ufinguzi ilikuwa hivi.

Mgeni rasmi, Meya wa Ilala Jerry Slaa (wa pili kushoto) akifurahia shoo hiyo wakati akiwa na wageni waalikwa katika shinano hilo.

Washiriki wakipita jikwaani na vazi la Ufukweni.

Mshiriki akijinafasi na vazi la Ufukweni jukwaani.

Mshiriki akijinafasi na vazi la Ubunifu jukwaani.

Mshiriki ambaye ni Miss Ilala Namba 2, Magdalena Munis, akijinafasi na vazi la Ubunifu jukwaani. Mrembo huyu mashabiki walimtunuku jina la Lady Gaga, kutokana na mavazi na mapigo yake kuanzia la ubunifu, la Talent Shoo, la usiku na la ufukweni.

Mshiriki akipita jukwaani na vazi la ubunifu.

Sehemu ya mashabiki wa fani ya urembo wakifurahia shoo hiyo.

Washiriki wakipita jukwaani na vazi la Ufukweni.

Warembo wa 5 bora katika shindano hilo, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutangazwa washindi.

Baadhi ya washiriki wa shindano la Miss Temeke, wakiwa ni miongoni mwa waliohudhuria shoo hiyo.


Baadhi ya washiriki wa shindano la Miss Temeke, wakifuatilia mpambano huo.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...