Monday, September 17, 2012

SNURA, SCORPION GIRLS WAPAGAWISHA MASHABIKI SINZA DAR.


Kundi la Scorpion Girls likiwa stejini.
 
WASANII wa filamu walioingia kwenye muziki hivi karibuni jana waliwapagawisha mashabiki wa Sinza jijini Dar katika shoo iliyoandaliwa na DTV katika viwanja vya Sinza Darajani ambapo wasanii kibao walikuwa wakitumbuiza.
Kundi la Scorpion Girls linaloundwa na warembo watatu ambao ni Miriamu Jolwa, Isabella Mpanda na Rashida Wanjara lilikamua vilivyo wakifuatiwa na Snura Mushi ambaye alikata mauno ya aina yake kwenye steji, hali iliyosababisha mashabiki kutaka kumrukia stejini lakini wakazuiwa.


 
Snura Mushi akikata mauno.
Wacheza shoo wa Snura wakikatika.
Dogo Buu (mbele), Bi Cheka (katikati) na mwisho ni Dogo Aslay.
 
PNC akipafomu.

Dogo Janja akionesha mambo yake.
Mashabiki wakifuatilia shoo kwa makini.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...