Sunday, September 16, 2012

SHETTA KUMZAWADIA MWANAYE GARI JIPYA SIKU YA AROBAINI YAKE

 MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Shetta  juzikzti amefunguka kwamba, ameamua kumvutia mkoko aina ya Toyota Opper  mwanaye kipenzi Qylah, ikiwa ni moja ya zawadi ya upendeleo, kwenye siku yake ya kutoka arobaini tangu alipozaliwa.
 Gari aina ya Toyota Opper likiwa kwenye msongamano muda mfupi kabla ya kumkabidhi mwanaye
Sehemu ya ndani ya gari hilo.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...