Monday, September 10, 2012

KLYN KUSHUSHA MAPACHA!!


Jackline Ntayabaliwe a.k.a Kyln

Inasemekana kwamba aliyewahi kuwa Miss Tanzania Jackline Ntayabaliwe a.k.a Kyln anatarajia kujifungua watoto mapacha! kwa mujibu wa U-Turn blog habari hii imezua gumzo kwa wasomaji wengi wa blog hio na kuhoji maswali mengi ambayo majibu yake yamebaki kuwa ni kitendawili!

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...