Tuesday, September 11, 2012

WAANDISHI WA HABARI DAR WAMTIMUA WAZIRI KUSHIRIKI MAANDAMANO



Kiongozi wa maandamano ya amani ya kimya kimya ya waandishi wa habari, David Meena, akizungumza wakati akihojiwa na wanahabari wenzake kuhusiana na tukio hilo la maandamano, ambapo alisema kuwa wamemtimua waziri nchimbi asishiriki katika maandamano hayo.

Katika maandamano hayo, Waziri Nchimbi amekataliwa kuhuwahutubia wanahabari hao na kuamua kuondoka eneo hilo.
Wanahabari wakiandamana kuelekea Viwanja vya Jangwani leo asubuhi kulaani mauaji ya mwanahabari mwenzao, Daudi Mwangosi..
Wanahabari wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali wakati wa maandamano

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...