Monday, September 17, 2012

DIAMOND APATA MASWALI MENGI JUU YA DANCER WAKE AMBAO AMEWAACHA NCHINI MAREKANI




Msanii anayefahamika kwa jina la Diamond Platinum tunakumbuka kama alipata ziara ya nchini marekani Washington Dc kwa kufanya show yake.Sasa habari ni kwamba msanii amesharejea hapa Tanzania lakini dancer wake bado wanakula bata nchini marekani.Msanii alieleza sababu ambazo zimemfanya mpaka awaache ma Dancer wake nchini marekani huyu hapa anafunguka kama ifuatavyo
"Jibu ni hapana,nimeamua kuwaacha marekani kwa ajiri ya mapumziko ya muda mfupi.Ili waweze kurefresh akili na miili yao kwasababu kiukweli wamefanya kazi kubwa kwa muda mrefu na iliyozaa matunda makubwa...hivyo kwa upendo na Heshima yangu kwao nikaona ni vizuri niwazawadie Mapumziko hayo Nchini AMERICA..... mbali na hayo kuna kingine kikubwa ambacho soon ntawajuza nini wanakifanya pia huko America ili wakirudi wazidi kuleta levolution katika Industry hii ya Muziki Africa"hayo ndiyo maneno ya Diamond Platinum wa wasafi baada ya kufunguka kuhusiana na ma Dancer wake.












































No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...