Thursday, August 16, 2012

WANASHERIA WANAKE WAFUTURISHA WATOTO YATIMA KIGOGO





Aliekuwa Mwenyekiti Chama cha wanasheria wanawake Tanzania (TAWLA)ambae kwa
sasa ni mjumbe wa Tume ya katiba Bi. Maria Maliangumu Kashonda akipata
futari wakati wa kufutulisha katika kituo cha kulelea watoto yatima New
Life |Orphans Home kilichopo Kigogo manispaa ya Kinondoni,futari
iliyoandaliwa na Chama cha wanasheria wanawake Tanzania (TAWLA
)

Aliekuwa Mwenyekiti chama cha wanasheria wanawake Tanzania (TAWLA)ambae kwa
sasa ni mjumbe wa Tume ya katiba Bi. Maria Maliangumu Kashonda, wa kwanza
(kulia),panoja na wanasheria wengine kutoka TAWLA wakijumuika na watoto
yatima katika kituo cha NEW LIFE ORPHANS HOME cha watoto yatima
kilichopo Kigogo jijini Dar es salaam futari iliyoandaliwa na chama cha
wanasheria wanawake Tanzania TAWLA

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...