Friday, August 24, 2012

RAIS KIKWETE AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM, MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA MPANGO WA KASI YA UWEZESHAJI WANAWAKE NA WASICHANA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao mcha Kamati Kuu cha CCM leo Agosti 24, 2012 jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akiwa na baadhi ya wake wa viongozi mbalimbali wakifurahia uzinduzi wa Mpango wa Kasi ya Uwezeshaji wa Wanawake na Wasichana leo Agosti 24, 2012 katika ukumbi wa Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akiwa na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt Asha-Rose Migiro baada ya Mama Kikwete kuzindua Mpango wa Kasi ya Uwezeshaji wa Wanawake na Wasichana leo Agosti 24, 2012 katika ukumbi wa Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...