Friday, August 24, 2012

CHA MZONGE HASSANI AWAANDAA MABONDIA WA TIMU YA TAIFA

Kocha wa mchezo wa ngumi, Hassani Mzonge akiwaelekeza mabondia wa timu ya taifa ya masumbwi jinsi ya kupiga ngumi zilizonyooka wakati wa mazoezi ya timu hiyo yanayofanyika katika GMY ya Klabu Gmykhana.

Hassani Mzonge akimwelekeza mmoja wa mabondia wa Timu ya Taifa jinsi ya kupishanisha ngumi wakati unapigana.

Makocha wa timu ya Taifa wakiwaonesha mabondia jinsi ya ngumi zinavyopishanishwa wakati wa mchezo. Kushoto ni Hassani Mzonge na Edward Luyakwipa.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...