Wednesday, August 8, 2012

OKWI ALIVYOTUA KURUDISHA HESHIMA MSIMBAZIMshambuliaji machachali wa Klabu ya Simba SC, Emmanuel Okwi akiwa amebebwa jujuu na mashabiki wa klabu hiyo muda mfupi baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Taifa wa Mwalimu Julius Kambalage Nyerere Jana.

....SWALI la kujiuliza Okwi bado anakiwango kile cha mwanzo? .... ataweza kupunguza hasira za wanamsimbazi tangu walipotolewa kwenye mashindano ya Kagame Cap hivikaribuni???.... Tililikaaaaa>>>>>>
Okwi akishangiliwa hadi na mashabiki wa kizungu wakati wa ujio wake hapo jana.... ingawa sina uhakika sana kama Wazungu hao walikuwa wakifahamu walichokuwa wakishangilia maana... wanavyoonekana kama walikutwa na tukio hilo hapo uwanjani tu!!
Makamu Mwenyekiti wa Klabu hiyo ... Kaburu (kulia), akiteta jambo na mshambuliaji huyo wakati wa mapokezi yake. 'sijui alitaka kumuuliza hapo hapo juu ya sakata la kwenda Yanga'? mmh... nikatika fikira zangu tu loh!!!>>>

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...