Monday, August 13, 2012

SIMBA KUBOMOLEWA TENA.... MRISHO NGASSA KUSAJILIWA YANGA KWA MILIONI 120

Klabu ya Yanga ipo katika mpango wa kumsajili mchezaji Mrisho NgasSa kwa shilingi milioni 120. 

Habari kutoka ndani zinasema baadhi ya viongozi wa Yanga wako katika mazungumzo na uongozi wa Azam ili kumrudisha mchezaji huyo katika timu yake ya zamani. 

NgasSa ambaye mwaka juzi na mwaka jana alikipiga katika klabu ya Azam na sasa amepelekwa kwa mkopo katika klabu ya Simba huenda akatua tena jangwani, Licha ya kuwa kuna taarifa kwamba Simba hawataki mchezaji huyo aondoke.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...