Sunday, August 5, 2012

KIFAA KIPYA CHA YANGA SC, CHAKABIDHIWA JEZI NAMBA 21


Mshambuliaji wa kimataifa kutoka timu ya Olympic Atletico ya Burundi, Didier Kavumbagu (kulia), akikabidhiwa jezi namba 21 na Msemaji wa Yanga SC, Luis Sendeu (katikati), wakati akitambulishwa kwa wanahabari jana baada ya kujiunga na kikosi cha mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati Young Africans Sports Club tayari kwa kuanza kuitumikia timu yake mpya. kushoto ni mchezaji mpya wa Yanga Said Bahanuzi.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...