Sunday, August 5, 2012

SIMBA YAFANIKISHA MKUTANO MKUU WA MWAKA


Mwenyekiti wa klabu hiyo, Ismail Aden Rage, (aliyesimama) akiongea na wanachama. Kushoto ni mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Hans Pope, kulia ni Makamu Mwenyekiti Geoffrey Nyange 'Kaburu'.

KLABU ya Simba ya jijini Dar es Salaam leo asubuhi imefanya mkutano mkuu wa mwaka katika ukumbi wa Police Officers' Mess ambao umehudhuriwa na wanachama zaidi ya 600.
Baadhi ya wanachama walioudhuria mkutano huo.
Wazee wa timu hiyo, Ally Sykes na mzee Juma Kilomoni.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro ambao ni wadhamini wa Simba, Geogre Kavishe, akiongea na wanachama.
Katibu Mkuu wa Simba, Evodius Mtawala, akiongea kwenye mkutano huo.
Aden Rage na Geoffrey Nyange 'Kaburu'wakimsikiliza George Kavishe (hayupo pichani).



No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...