Thursday, August 9, 2012

JINI KABULA, RASHIDA NA ISABELA MPANDA NDANI YA GAME LA BONGO FLEVA


 
WASANII hawa kwa sasa wanaunda kundi la Scorpion Girls,ambaye ni  Isabela Mpanda, Miriam Jolwa 'Jini Kabula' na Rashida Wanjara, hatimaye wameamua kujikita kwenye game la muziki wa Kizazi kipya maarufu kama Bongo Fleva, na tayari wameshakamilisha single yao ya kwanza inayokwenda kwa jina la WATUACHE ambayo wameirekodi ndani ya Studio za Natal Record chini ya Producer Abbah Process.
Nyimbo hiyo wameshaifanyia video katika lebo ya Visual Lable  chini ya mkali Adam Jumaa, ambayo inatarajiwa kuingia hewani kuanzia wiki ijayo. 
SWALI LA MSINGI .... Kwa muonekano wa warembo hawa je, wataweza kudum kwenye game na katika kundi hili au wameingia kujaribu zali na kushikiria majina yao yasipotee kwenye midomo ya wachache wanaowafaham?
Tiririka.........!!!!

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...