Friday, August 3, 2012

BENDI YA EXTRA BONGO YAZIDI KUWIKA FINLAND



Kiongozi wa wawacheza shoo, Super Nyamwela akicheza wakati wa onyesho hilo

Mpiga Bass wa bendi hiyo,Hoseah Mgoachi, akilichakaza Gitaa wakati wa onyesho hilo

Mmoja wa wacheza shoo wa bendi hiyo, Danger Boy akionyesha ufundi wake.

Waimbaji wakicheza wakati wa onyesho hilo,kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Bendi hiyo, Ally Chocky, Bob Kissa na Athanas Motanabe.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...