Monday, March 26, 2012



Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiwapungua mikono baadhi ya wageni waliohudhulia shughuli za kulishuhudia kombe la UEFA, katika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, jijini Dar es Salaam mapema leo.


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kinyago Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), BW Oluseyi Bajulaye ndani ya ofisini ya Waziri Mkuu ambapo alianda kwa lengo la kumuaga tayari kwa safari yake. Picha: Jane John Blog

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...