Thursday, March 22, 2012

Wachezaji wa timu ya ES Setif ya Algeria, wakiwa katika mazoezi ya pamoja kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam jana jioni. Timu hiyo imewasili nchini mapema na kuanza mazoezi ikiwa na lengo la kuzoea hali ya hewa ili iweze kufanya vizuri katika mchezo wake na Simba.
Wachezaji wa timu ya ES Setif ya Algeria wakiw katika picha ya pamoja na viongozi wao na Balozi wao hapa nchini. Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.
Balozi wa Algeria nchini akisalimiana na wachezaji wa timu ya ES Setif kwenye uwanja wa Karume jana jioni.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...