Thursday, March 22, 2012

BRITISH COUNCIL WASHEREHEKEA KWA KUTIMIZA MWAKA



Maofisa wa British Council, Rachel Matee, na wenzake wakiwahudumia wageni waalikwa kwa vinywaji baridi wakati wa hafla fupi iliyofanyika jana jioni kwa ajili ya kukutana na kupongezana na wadau wao waliofanya kazi kwa pamoja mwaka uliopita na kuanza mwaka mpya wa Taasisis hiyo ambao huanza mwezi Aprili. Lengo la hafla hii ilikuwa ni maalum kukutana pamoja na wasambazaji,washirika na wadau wote ili kuwashukuru kwa mchango na ushirikiano walioutoa kwa mwaka mzima. Katika hafla hii Wadau waliweza kusherekea baadhi ya matukio makubwa ya mwaka na kupata fursa ya kupanua wigo wa mtandao wa shughuli za Taasisi hiyo.



Mkurugenzi wa British Council, Sally Robinson (katikati) akizungumza na Balozi na mmoja kati ya wageni waalikwa.


Wageni wakiendelea kuburudika....

Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhulia hafla hiyo wakibadilishana mawazo na kufurahi kwa pamoja wakati wa hafla hiyo.

Wengine hawakuwa nyuma katika kutafuta picha za kumbukumbu za matukio ya hafla hiyo, hapa ni mmoja kati ya maofisa wa Taasisi hiyo, Usu Emma, akisaka ‘Shot’.



Mkurugenzi wa British Council, Sally Robinson (kulia) akifurahia jambo na Mkurugenzi wa Kampni ya usafi ya Professional Cleaners, Odilian Martin (kushoto) na Madam Ritha.


Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhulia hafla hiyo wakibadilishana mawazo na kufurahi kwa pamoja wakati wa hafla hiyo.




Huduma ya vinywaji ikiendelea ukumbini hapo, kwa kila mmoja kujichagulia kinywaji apendacho.






Kanal Idd Kipingu (kulia) naye alikuwa ni miongoni mwa wageni waalikwa.



Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhulia hafla hiyo wakibadilishana   

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...