BONANZA LA WAANDISHI WA HABARI LAFANA VILIVYO
WAZIRI wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, akizungumza wakati wa Bonanza la waandishi alipoalikwa kuwa mgeni rasmi katika Tamasha hilo maalum linaloendelea katika ufukwe wa Msasani Beach Club, hivi sasa. Sitta amepongeza utaratibu wa waandishi kukutana na kupongezana na kuyataka mashirika na makampuni mengine kujitokeza kudhamini na kuandaa Mabonanza kama ilivyofanya kampuni ya Bia ya TBL, ambapo ameahidi kufanya hivyo katika Wizara yake na kuandaa hafla kama hiyo na waandishi mambo yatakapokamilika. Kulia ni Mwenyekiti wa TASWA, Juma Pinto.
Sehemu ya waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini kilichokuwa kikifanyika jukwaani
Rapa na mwimbaji wa bendi ya Fm Academia, Totoo Kalala, akighani rap zake kusebenesha waansihi waliokuwa wakisebeneka stejini.

Habari /Picha:Jane John blog
No comments:
Post a Comment