Saturday, March 24, 2012

RAIS KIKWETE AAWAAPISHA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 
 Katibu Tawala mpya wa mkoa wa Mbeya Bibi.Mariam Mtunguja akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es salaam leo.Katika hafla hiyo Rais aliwaapisha pia makatibu Tawala wa mikoa mingine kama ifuatavyo,Dkt. Faisal Issa (Kilimanjaro),Bwana Eliya Ntandu (Morogoro), Bwana Severine Kahitwa (Geita),Bwana Emmanuel Kalobelo (Katavi), Bwana Hassan Bendeyeko (Ruvuma) na Dkt. Anselem Tarimo (Shinyanga).(Picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...