Saturday, March 24, 2012

ACHENI FEDHA IITWE  MAJINA KIBAO... JOTI WA  ZAMANI NA MPOKI WA LEO  Mmmmh...

Ama kweli hakuna aliyemchafu mbele ya Fedha,  ndiyo maana utakuta inaitwa majina kibao kama  Chapaa, Mkwanja, Ngawila, Mshiko, Pochi, nk. majina haya yote yanatokana na unono wa kitu chenyewe ambapo ukiwa na fedha unaweza kubadilika hata ndani ya dakika moja kutokana na unavyohitaji kwa wakati huo.
Ukiangali picha hizo hapo juu utagundua wazi washikaji zangu hawa enzi hizo na sasa kunatofauti kubwa ambayo ukimueleza mtu bila picha anaweza kukutwanga hata ngumi.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...