BASATA NA KILIMANJARO PREMIUM LAGER YATANGAZA MAJINA YA WATAKAOWANIA TUZO ZA KILI TANZANIA MUSIC AWARDS 2012
MCHAKATO wa kuelekea kwenye utowaji wa tuzo za Kilimanjaro Music Awards 2012 umeaanza leo kwa kutangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo hizo kupitia vipengele mbalimbali vilivyowekwa na waandaaji wa tuzo hizo ambao ni Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), kwa ushirikiano na kampuni ya TBL.
Mratibu wa tuzo hizo kutoka Basata Agelo Luhala (kushoto), akisoma majina ya wateule mbele ya wanahabari, huku akishuhudiwa na Meneja wa bia ya Kilimanjaro George Kavishe.
Baadhi ya waandishi wa habari waliofika mahari hapo wakisikiliza na kuchukua picha za tukio hilo.
No comments:
Post a Comment