LEO JUMATANO KUNA MECHI KALI KATI YA TIMU YA GOSPEL NA TIMU YA FC DAR CITY AU ZIZZOU FASHION TEAM KATIKA UWANJA WA KENTON SINZA SAA 10 JIONI.
HAKUNA KIINGILIO...FULL MUZIKI SIKU YA LEO
Hatimaye siku tuliyokuwa tunaisubiri kwa muda mrefu imefika. Timu hizi zitakuwa zinapambambana katika kiwanja cha mpira cha Kenton kilichopo katika shule ya Kenton iliyoko Sinza, Afrikasana karibu na ofisi za TRA.
Wapenzi wa football mnakaribishwa na hakutakuwa na kiingilio chochote. Jana Rulea akiongea na Erick Brighton kuhusina na maandalizi, naye alisema, timu ya Gospel ambayo inaunganisha waimbaji, mapromota na watangazaji wa radio za injili nchini Tanzania wamejiandaa vizuri sana kukabiliana na timu ya FC Dar City ambayo inamilikiwa na Zizzou Fashion. Pia aliomba watu wajitokeze kwa wingi sana ili kuja kumtukuza Bwana kwa njia ya michezo.
Na haya ni maandalizi yaliyokuwa yanaendelea siku ya:
(a) Jumanne kwa timu ya Gospel
Kikisi kimetilika: Wakifanya mazoezi ya kufunga mabao
Mtangazji wa Cjhannel Ten, Boniface Magupa akisubiria mpira
Mtangazaji wa Wapo radio, Silas Mbise ambaye alikuwa goalkeeper, hoi baada ya kufungwa na Boniface Magupa
Mtangazaji wa Wapo radio, Silas Mbise ambaye alikuwa goalkeeper, akiufuta mpira
------------------------
TIMU YA GOSPEL YA WANAWAKE WAKIWA KATIKA MAZOEZI
Timu hii inawakaribisha wadada wote wanaweza kucheza mchezo huo, nafasi zinapatikana
Kutoka kushoto ni mama OP (Ophra), Mwimbaji wa nyimbo za injili Mvungi
Msikilizaji maarufu sana wa radio za injili anayejulikana kwa jina na Mama Abuu (kulia) akiyafurahia mazoezi ya viungo
No comments:
Post a Comment