Tuesday, February 7, 2012

REHEMA KITCHEN PARTY!!
 
 Red carpet imesimamaa......usibonyeze kidude

 
 MAPAMBOOO kama kawa FM EVENT walisimamia

wanakamati walivunja red

kitu euro maa dollar hazisomekii ;)
kikuku kinapovishwa mahala pake....KULIKUWA Na NYAYOZI ZA KUMWAGA
Kwa kifupi ...TWANGA PEPETA WALITEKA SHUGHULI
 
 zawadi hutolewa ..... but LULU alifunika

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...