Wednesday, January 25, 2012


WATANGAZAJI, WAIMBAJI NA MA-PROMOTERS WA INJILI TANZANIA WAKIJIFUA KATIKA KIWANJAZA CHA ST. MARY, KENTON SINZA MORI ,TAYARI KUPAMBANA NA TIMU YA BONGO MOVIE ITAKAYOFANYIKA 
JUMAMOSI, 28 JANUARY 2012

Mechi hii itachezwa katika viwanja vya TTCL/POSTA Kijitonyama (Science) ambapo kutakuwa natamasha la uimbaji baada ya mechi kuisha. Waimbaji kama Bony Mwaitege, Flora Mbasha, Bahati Bukuku, Mzee wa nyimbo ya zungukazunguka atakuwa ndani ya uwanja, na waimbaji kibao. Kutakuwa na kiingilio cha buku tano (5000/=) mlangoni, kama utataka tiketi, jisogeze maeneo ya Efatha Mwenge, Ubungo Oil Com. Mechi itaanza saa 6:00 mchna. Utakutana na waigizaji wa filamu za Kibongo kama JB, Ray, Kanuba, Irene Uwoya, Wema Sepetu, na wengine wengi.

Angalia maandalizi  haya:
Wtangazaji wa Praise Power Radio, BP (aliyekaa) na Uncle Jimmy wakijadili jambo kabla ya mazoezo kuanza
BIG..George Mpela akipiga kipenga kuwaita wachezaji uwanjani
Fuuuuuuuuulu shangwe na Bony Magupa wa macheliiiiiii...mtangazaji wa Channel Ten
Kiuno kaka..haya yalisemwa na BIG George Mpela (aliyevalia jezi ya yelow...akiwa na mzee wa mablogi Rulea Sanga (RUMA)
"Watumishi hilo zoezi ni noma..sifanyi hata kwa dawa..." Big George Mpella
Majambozi yanendelea
Mtangazaji wa Channel Ten Bony Magupa (kulia) akiwa na Mzee mzima Big-Mtangazaji wa Praise Power, George Mpella..wakitroti....
Kazi inasonga

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...