Wednesday, August 3, 2016

STAILI ZA MAHABA ZA LEWIS HAMILTON, MODO ZATAWALA MTANDAONI

Dereva maarufu wa mashindano ya magari, Lewis Hamilton yupo katika visiwa vya Barbados ambapo akiwa huko ameonekana kujiachia na kuwa mtu mwenye furaha huku ukaribu wake na mwanamitindo Chanel Iman ukiwa kivuto kwa wengi.

Mastaa hao wawili walionekana wakijiachia na kupigana mabusu na kukumbatiana huku kamera zikiwa nyingi kuelekea kwao kutokana na aina ya mavazi waliyokuwa wamevaa pamoja na staili za kimitego walizokuwa wakionyeshana.


Angalia zaidi kwenye picha uone ilivyokuwa, pia Lewis alikuwa akijichangana na wanawake wengine na vijana wengine waliokuwa kwenye msafara wa ufukweni:  


POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...