Wednesday, August 3, 2016

MSANII WA BONGO MUVI, GABO APATA AJALI YA GARIMwigizaji Bongo Movie, Salim Ahmed ‘Gabo’ amepata ajali ya gari alipokuwa akielekea Hifadhi ya Ruaha, wenzake wawili wameumia, yeye hajapata majeraha.
POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...