Tuesday, March 15, 2016

WEMA SEPETU Afunguka Kuhusu Kutoka na Mkongo, Amechoka Kutumika Kama Daraja

Tangu mwaka 2016 uanze miongoni mwa story zilizochukua headlines kwenye mitandao mbalimbali ni hii inayomuhusu mwigizaji staa wa Tanzania, Wema Sepetu kuwa ana mahusiano ya kimapenzi na Mcongo.

Sasa leo kupitia instagram amejibu tetesi hizo na kuandika..‘Sijawahi na sitowahi kuwa na mwanaume Mcongo wa aina yoyote ile… Sasa nashangaa watu wameona mimi ndo daraja la kuwapa umaarufu… Im Tired… Huyo apocalypse sijui kitu gani aint my man… I only know him as a friend.So please guys niacheni kidogo tafadhal… Alam-siq…!!!πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½ And ontop of all dat I think u all know me by now nikiwa na mtu sijivungi kumtangaza maana huwa I live to please my heart… Mwanaume wangu nadhani anajulikana’>> @wemasepetu

‘Sasa endeleeni kumpa huyo baba attention sababu yeye nako naona kashaona ni kamchezo kakupatia followers.Na nyie mnampa airtime ya kutosha anaendelea Ananiudhi na mimi kiukweli hadi napata hasira.But nakaa tu kimya… This is too much now’>>> wemasepetu
A photo posted by wemasepetu (@wemasepetu) on

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...