Tuesday, March 15, 2016

BETHDEI YA MWANA-FA NA BARAKA DA PRINCE MAISHA ILIVYOFANA MAISHA BASEMENT CLUB WEMA NDANI


JUMAPILI ya jana mastaa kibao wa muziki wa Bongo Fleva walihudhuria sherehe ya kuzaliwa kwa msanii Baraka Da Prince na Mwana-FA iliyofanyika katika Ukumbi wa Maisha Basement ulipo Kijitonyama jijini Dar.
Sherehe hiyo ilipambwa na burudani kutoka kwa wasanii Mirror, Mo Music, Ali Kiba, T.I.D, Ommy Dimpoz, Barnaba Boy na wengine kibao sambamba na burudani ya nguvu kutoka kwa DJ Ommy Craizy, Ally B na Tass.POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...