Wednesday, February 3, 2016

HIVI NDIVYO TIMU YA SIMBA ILIVYOWACHINJA 5-1 MGAMBO

Mshambuliaji wa timu ya Simba SC, Ibrahim Ajib akimtoka mchezaji wa timu ya Mgambo ya Tanga. 
Kiiza na wenzake wakishangilia bao lao la kuongoza.
Hija Ugando akiwapigisha gwalide maafande wa Mgambo Shooting ya Tanga.
Dany Ryanga akiiwa jujuuu wakati akitaka kuipenya ngome ya maafande hao.

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...