Thursday, February 18, 2016

ANGALIA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI YA RAIS DKT. JOHN P. MAGUFULI AKIONGEA NA WASANII IKULU!


Rais John Pombe Joseph Magufuli akiongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016.Waziri Mkuu, Mhe Kassim Majaliwa akisalimia katika mkutano wa Rais John Pombe Joseph Magufuli na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016.

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimia katika mkutano wa Rais John Pombe Joseph Magufuli na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016.

Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na kundi la sanaa la Tanzania One Theatre baada ya kuongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016,Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na wataalamu wa TEHAMA baada ya kuongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016.Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na wasanii wa Bongo Fleva baada ya kuongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016.
Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na wasanii wa Bongo Movie baada ya kuongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016.Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na sehemu ya wanahabari aliokuwa nao katika kampeni baada ya kuongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016
Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na watendaji kutoka CCM Makao Makuu baada ya kuongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016.

Rais John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. January Makamba huku Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Nape Nnauye kabla ya kuongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016.

Rais John Pombe Magufuli na Mkewe, Mama Janeth Magufuli wakiongozana na Mhe January Makamba huku Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Nape Nnauye wakielekea ukumbini kuongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016.

Rais John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Mhe January Makamba huku Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Nape Nnauye kabla ya kuongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016.
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...