Tuesday, January 19, 2016

SIMBA VS JKT BITA NI BITA MURAAA!

Mlinda mlango wa Simba, Peter Manyika akiokoa mpira wakati wa mazoezi ya timu hiyo katika uwanja wa Boko Veteran.
 Kocha wa timu hiyo Jackson Mayanja (katikati), akiongoza mazoezi hayo.

 Mohamed Hussein 'Shabarara', wa kwanza akionyeshwa namna ya kufanya mazoezi na kocha wake.
 Hassani Kessy akinyooshwa viungo na Juuko Murshid
 Jonas Mkude akielekezwa jambo na kocha.
 Wachezaji hao wakijifua.
 Mayanja akiwanoa.
 MMayanja kazini na Ndemla
 Mazoezi yakipapamba moto
Raphael Kiongera akinyooshwa mbavu na Daktari wa timu hiyo Noel Kigadye

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...