Wednesday, January 20, 2016

RAIS DK JOHN POMBE MAGUFULI AONYESHA UBORA WAKE KATIKA KUSHONA


Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akionesha umahiri wake wa kutumia cherahani na kushona nguo za wafanyakazi wakati alipofanya ziara ya kutembelea na kuvifahamu vitengo mbalimbali vya Ikulu jijini Dar es Salaam Januari 20, 2016.
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kushona kwa ustadi.
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimalizia moja ya nguo za wafanyakazi wa Ikulu.

Picha: Ikulu

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...