Friday, January 22, 2016

ANGALIA PICHA ZA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AKIWA NDANI YA KOMBATI ZA JESHI!

Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wananchi wa Arusha Mjini wakati akipita Barabarani kuelekea Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli ambako pamoja na mambo mengine kesho Januari 23, anatarajiwa kutunuku Kamisheni kwa Maafisa wanafunzi wa Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli kundi la 57/15.
Wananchi waliojitokeza kumlaki rais Magufuli.

Wananchi waliojitokeza kumlaki rais Magufuli.

Amiri Jeshi Mkuu,Rais Dkt Magufuli akiwasikiliza wananchi kwa makini alipopita maeneno ya Sanawali kuwasalimia wakati akielekea Wilayani Monduli.

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...